Maono na Misheni
Maono na Misheni
Maono na Misheni
Maono
Tanzania bila Kifua Kikuu
Misheni
Kuboresha afya na ustawi wa jamii kupitia uratibu, kujenga uwezo na kukuza ubunifu miongoni mwa AZAKi na wadau wengine ili kuchangia kikamilifu katika kutokomeza Kifua Kikuu nchini Tanzania.
Maadili
Kujituma
Heshima
Uwazi
Uwajibikaji
Uadilifu
Ubunifu
Kufanya kazi kama timu
Kujitolea
Ubora
Mazingira Rafiki